You dont have javascript enabled! Please enable it! Promote Your Business For Free With ZanMarket
Zanmarket-free-promotion-poster-powered-by-pentool-graphic-design-centre

Promote Your Business For Free With ZanMarket

Je, unatafuta jukwaa rahisi na la haraka la kutangaza bidhaa au huduma zako? ZanMarket ni tovuti bora ya matangazo mtandaoni Tanzania, inayokusaidia kufikia wateja wengi zaidi kwa urahisi!

🎉 OFFER MAALUM – TANGAZA BURE KWA MWEZI MZIMA! 🎉

🗓 OFFER INAANZA: 08/02/2025 – 08/03/2025

Kwa muda huu maalum, tunakupa nafasi ya kutangaza BILA MALIPO kwa mwezi mzima! Fikia wateja wapya na ongeza mauzo yako bila gharama yoyote.

Unaweza Kutangaza Aina Zote za Bidhaa na Huduma, Ikiwemo:

Biashara & Huduma – Maduka, migahawa, ofisi, huduma za kitaalamu, nk.
Bidhaa Mpya & Matumizi – Simu, magari, vifaa vya nyumbani, mashamba, nk.
Nafasi za Kazi – Tangaza ajira na upokee maombi moja kwa moja.
Nyumba & Viwanja – Panga, uza au nunua nyumba, vyumba, na ardhi.
Mitambo & Mashine – Vifaa vya ujenzi, viwanda, na kilimo.

Jinsi ya Kutangaza Bure kwa Sasa:

📩 Tutumie Email: info@zanmarket.com
📲 WhatsApp: +255 746 259 442 | +255 773 757 570
🌍 Tembelea Website: www.zanmarket.com

Fursa hii ni kwa muda mfupi! Usikose nafasi hii ya kipekee ya kutangaza biashara yako BILA MALIPO hadi 08/03/2025. Jiunge sasa na ZanMarket!

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *