Certificate in graphic design

Certificate In Graphic Design

Pentool Graphic Design Centre inatoa Mafunzo ya Cheti cha Graphic Design kwa kutumia programu maarufu za Adobe:
Photoshop, Illustrator, InDesign, Lightroom na Premiere Pro.

Kupitia kozi hii, utajifunza kubuni na kusanifu:
📌 Picha za ubunifu
📌 Magazeti & Majarida
📌 Broshua & Vipeperushi
📌 Kalenda
📌 Kava za vitabu na kazi nyingine nyingi za kitaalamu. & Vitabu

  • Mafunzo yanapatikana kituoni kwetu – Mchina Mwanzo, Zanzibar
  • Vipindi vya jioni vinapatikana kwa wale wenye majukumu mchana
  • Walimu wazoefu na mbinu bora za kufundishia
  • Unapewa cheti rasmi baada ya kuhitimu

Tuna hakika kuwa baada ya mafunzo haya, utaweza kutumia ujuzi wako kwa ubunifu, ujasiriamali au ajira.

Jiunge leo – nafasi ni chache!
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupita +255746259442 / +255773757570 au fika ofisini katika ofisi za chuo zilizopo kwamchina mwanzo Zanzibar.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *